Submitted by Joseph Salam on Jumamosi , 3rd Mei , 2014
Nimpende nani? ni filamu ya kiswahili inayohusiana na kijana anayefananishwa sana namwanamziki (Diamond). kijana huyu ndo anachipukia katika muziki. Kama kawaida anakutana na vikwazo mbalimbali kuelekea katika mafanikio yake.