Chanzo rushwa polisi ni mishahara duni - Upinzani

Mbunge wa Arusha na waziri kivuli wa mambo ya ndani ya nchi, Godbless Lema.

Mishahara duni wanayolipwa askari wa jeshi la polisi nchini Tanzania imeelezwa kuchangia kwa kiasi kikubwa askari kujihusisha na vitendo vya kupokea rushwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS