Diamond: Nimelisoma soko la muziki
Msanii Diamond Platinumz, amesema kuwa, kwa sasa baada ya mafanikio makuwa ya remix ya ngoma yake ya My Number One, picha linaendelea ambapo atawazawadia mashabiki wake kolabo nyingine kubwa ya kimataifa hivi karibuni.