Mashabiki Yanga waombwa kuiunga mkono timu

Uongozi wa mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania Yanga, umewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa wavumilivu na kuipa sapoti kubwa timu hiyo katika kipindi hiki ambacho timu hiyo iko katika vita ya kutetea ubingwa wake huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS