Marekebisho ya katiba Simba yatua TFF

Shirikisho la soka nchini TFF limethibitisha kupokea barua ya marekebisho ya katiba ya klabu ya soka ya simba ambayo ilitua jana katika ofisi za shirikisho hilo.

Afisa habari wa TFF Boniface Wambura amesema kuwa mwanachama yeyote wa shirikisho hilo anapotaka kufanya mabadiliko au marekebisho katika katiba yake ni lazima azingatie katiba mama ya TFF, CAF na FIFA kwakua kuna baadhi ya vipengele havikwepeki lazima vifuate katiba ya TFF.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS