Dk Mengi Awataka Waandishi wa Habari Kuwa Wakweli

Dkt Reginald Mengi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP

Mwenyekti Mtendaji wa IPP Dk. Reginald Mengi amewataka waandishi wa habari wa vyombo vya IPP kujitahidi kutafuta na kuandika habari za ukweli kwani ukweli ndio utakaowaweka huru.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS