Naibu waziri apinga wakulima kutozwa bima ya moto

Naibu waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika nchini Tanzania Mh Godfrey Zambi amepinga utozaji wa bima ya moto kwa wakulima wanaomiliki mashamba yenye hati za kimila yenye ukubwa wa zaidi ya hekta 10 katika wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS