CHANETA yashukuru wadau michuano ya EAC Chama cha Mpira wa Pete Tanzania,CHANETA kimesema kimefurahishwa na kufanikiwa kwa mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na kati yaliyomalizika mwishoni mwa juma. Read more about CHANETA yashukuru wadau michuano ya EAC