Wakazi wa Boko watishia kufunga barabara
Wakazi wa eneo la Boko jijini Dar es Salaam nchini Tanzania wametishia kuifunga barabara ya Boko – Magereza iwapo serikali haitachukua hatua za haraka za kuikarabati kutokana na mashimo makubwa yaliyosababishwa na baadhi ya watu kuchimba mchanga.