Alhamisi , 29th Mei , 2014

Kufuatia sakata la kuhusika katika ugomvi siku chache zilizopita, msanii wa muziki Moze Radio wa nchini Ugandan ambaye pia ameripotiwa kupatikana na kosa la kuotesha kilevi aina ya bangi nyumbani kwake, amefunguka kukanusha taarifa hizi.

Moze Radi

Moze Radio amesema kuwa, Bangi iliyokamatwa na polisi ilikuwa ni mali ya Jeff Kiwanuka ambaye ndiye aliyekuwa meneja wa kundi lao katika kipindi cha nyuma.

Kuhusiana na sakata hili, Moze Radio anafunguka mwenyewe zaidi hapa.

Tags: