Ngekewa yamuangukia Chameleone

Chameleone

Jose Chameleone anatarajiwa kupiga hatua nyingine kubwa katika muziki wake, kwa kufanya kolabo na wasanii wa muziki wa Kimataifa akiwepo Sean Paul pamoja na Konshens kutoka nchini Jamaica.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS