'Wanatetemeka' Kuachia jumapili hii

Wanatetemeka Video Set

Baada ya kuwekeza nguvu nyingi katika kutengeneza video ya ngoma yake kali inayofahamika kwa jina, 'Wanatetemeka' msanii Queen Darlen, hatimaye msanii huyu amepanga kuiachia rasmi kazi hii Jumapili tarehe 6 mwezi huu Jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS