Emmanuel Shija atamba dunia nzima.
Mpiganaji wa sanaa ya mapigano ya mashariki ya mbali yaani Martial Arts aina Muai Thai na Mixed Martial Arts (MMA) mtanzania Emmanuel Shija Kajala amesema hivi karibuni ataenda nchini Hispania kwa ajili ya kujiendeleza zaidi kwa mchezo huo.