Mkapa asisitiza Elimu kwa Wafugaji
Rais mstaafu Benjamini Mkapa amezishauri taasisi za kitaifa na kimataifa zinazoendesha shughuli zao kwenye maeneo ya wafugaji kutilia mkazo elimu kwa watoto wao hiyo kwani ndio njia pekee ya kuwakwamua na uamasikini