Hasheem Thabeet amwaga misaada Tanzania
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Tanzania, anayecheza ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA, Hasheem Thabeet, ametoa msaada wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa kikapu kwa shule ya kulea vipaji ya Lord Baden iliyoko mkoani pwani .