Johari atinga Kikaangoni, afafanua mambo kibao

Mwigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Blandina Changuka maarufu kama Johari kwa jina la kisanii, leo hii ameshiriki katika kipengele cha Kikaangoni Live cha ukurasa wetu facebook, ambapo wapenda burudani wameweza kumuuliza maswali mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS