Ulinzi waimarishwa mechi ya Simba vs Yanga
Katika kuhitimisha ligi kuu ya soka ya Tanzania Bara Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limetangaza kuimarisha Ulinzi katika mchezo kati ya Simba na Dar es salaam Young Africans maarufu kama Yanga Mchezo utakaopigwa siku ya Jumamosi.