Mipango mingi ndio chanzo cha kushuka kwa elimu Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dkt Shukuru Kawambwa. Kiwango cha elimu nchini Tanzania kimeonekana kushuka kutokana na serikali kuanzisha mifumo mingi ya kukuza elimu bila kuifanyia utafiti na kujipanga katika kukabiliano nayo. Read more about Mipango mingi ndio chanzo cha kushuka kwa elimu