RT yasaka udhamini michuano ya riadha taifa Wanariadha wakichuana katika moja ya michuano ya taifa. Chama cha Riadha nchini RT kimesema pamoja na changamoto ya ukata unaokikabili chama hicho wao kama chama wanaendelea na maandalizi ya michuano ya taifa yatakayofanyika jijini Dar es salaam. Read more about RT yasaka udhamini michuano ya riadha taifa