Mzee Ali Hassan Mwinyi asisitiza kulinda Muungano

Rais Mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi

Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amewataka Watanzania kuhakikisha wanadumisha na kuulinda Muungano ili kizazi kijacho kiweze kuyaona mafanikio na changamoto za shughuli hizo tangu kuanzishwa kwa Muungano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS