Fuse ODG afyatua kichupa

msanii wa nchini Ghana Fuse ODG

Msanii wa nchini Ghana mwenye makazi yake nchini Uingereza Fuse ODG hivi sasa ameibuka upya kwa kutoa kichupa kipya alichofanya na mkali wa miondoko ya Dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS