Dance 100% yatimua vumbi Dar
Zoezi la usahili wa mashindano makubwa ya kucheza nchini Tanzania, Dance100% 2014 limeanza kwa kishindo hapo jana katika viwanja vya Don Bosco Upanga Jijini Dar es Salaam kwa kujitokeza kwa vikundi mbalimbali kufanyiwa usaili.

