Usaili Dance 100% kuendelea
Zoezi la usaili wa mashindano makubwa ya kucheza nchini Tanzania, Dance100% 2014 linaendelea kwa kishindo ambapo usaili wa pili utafanyika Jumamosi hii ya tarehe 26 mwezi huu kwenye viwanja vya basketball vya Don Bosco Oysterbay.

