Kikwete apongeza halmashauri ya wilaya ya Songea
Rais Jakaya Kikwete ameipongeza halamshauri ya wilaya ya Songea vijijini kwa kusimamia mradi wa maendeleo ukiwemo wa ujenzi wa soko la kimataifa lililojengwa mpakani kwa Tanzania na Msumbiji litakalowezesha kuongeza uchumi wa nchi.

