Octopizzo atulia kwa mama Zara msanii Octopizzo wa nchini Kenya Rapa Octopizzo, ameweka wazi kuwa, alikuwa na ndoto ya muda kuwa na mahusiano na mama wa mtoto wake Zara, na malengo na kujiamini ndicho kitu kilichomsaidia kumpata. Read more about Octopizzo atulia kwa mama Zara