Uchukuaji fomu za kuwania uongozi TLGU wasuasua

Baadhi ya viongozi wa chama cha gofu kwa wanawake wakishangilia ubingwa.

Rais wa chama cha mchezo wa gofu kwa wanawake Tanzania TLGU Mbonile Barton amesema hatogombea nafasi yoyote katika uchaguzi mkuu ujao wa viongozi wa chama hicho utakaofanyika katikati ya mwezi ujao mkoani Mororogo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS