Ripoti ya haki za binadamu kibiashara yazinduliwa Dkt Hellen Kijo Bisimba - Mkurugenzi mkuu LHRC Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC leo kimezindua ripoti ya haki za binadamu katika uchumi kwa mwaka 2014 ambayo inaonesha ukikwaji mkubwa wa haki hizo nchini Tanzania. Read more about Ripoti ya haki za binadamu kibiashara yazinduliwa