Magufuli ashangazwa kukwama miradi mbalimbali

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi Dr John Pombe Magufuli ameonesha kushangazwa na miradi kadhaa ya maendeleo nchini kukwama katika sekta mbalimbali huku fedha zikiwa zimeshatolewa jambo linalowafanya watanzania kuichukia serikali yao

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS