USAILI WA TATU NA WA MWISHO (Part 2)
Usaili wa mwisho wa Dance 100% (2015) ulikuwa hatari tupu. Jumamosi iliyopita tuliangalia nusu ya makundi 28 yaliyojitokeza. Wiki hii tunaangali makundi yaliyobaki na kuyafahamu yale 5 bora yaliyotoboa kueleke Robo Fainali. Jumamosi Saa 12:30 Jioni