Wakimbizi waongezeka Tanzania Serikali imetangaza kuongezeka kwa wakimbizi kutoka nchini Burundi na kufikia 91, 661 ambao kwa sasa wamehifadhiwa katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu Mkoani Kigoma. Read more about Wakimbizi waongezeka Tanzania