Nah Reel: 'Game' imenitambulisha zaidi
Msanii na mtayarishaji muziki Nah Reel ameweka wazi kuwa rekodi yao ya 'Game', mbali na kusaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza mashabiki nje ya nchi, imesababisha pia watu kuendelea kuchimba na kufahamu kazi ambazo zilitangulia kipindi cha nyuma.

