Vijana wataka rasilimali za nchi zitoe ajira
Serikali ijayo imetakiwa kuelekeza rasilimali za nchi katika nafasi za ajira zilizopo, ili kuweza kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana, kwani kuna uhitaji mkubwa wa rasilimali watu katika sekta mbali mbali hapa nchini.
