Ubunifu wa vijana ulindwe kikatiba - Vijana
Serikali ijayo imetakiwa kuweka msingi ulio imara kikatiba ili kulinda ubunifu wa vijana ambao kwa kiasi kikubwa umekuwa ajira tegemezi, ilikuweza kutatua tatizo la ajira kwa vija alinaloikabili nchi yetu.