NJE YA BOX
NJE YA BOX
Msanii Snura asema Shilole ni mtu wakubwatuka.
KITENGO
Mwanamuziki Top in Dar 'TID' ambaye mara nyingi amekuwa na tetesi za kuhusishwa na matumizi mabaya ya madawa yakulevya. Kwenye Kitengo cha Planet Bongo TID amesisitiza vijana kuepuka madawa ya kulevya kwani ni tatizo duniani kote