Tatizo la umeme kumalizika Oktoba: TANESCO

Meneja Mawasiliano wa Tanesco Adrian Mvungi

Shirika la Umeme nchini TANESCO limesema kuwa tatizo la upungufu wa Umeme linalofanya umeme ukatike mara kwa mara nchini litamalizika ifikapo katikati ya mwezi wa kumi au mwanzoni mwa mwezi Novemba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS