Wazee Arumeru wakabiliwa na ugumu wa maisha
Wazee wanaoishi katika kijiji cha King`ori wilaya ya Arumeru mkoani Arusha wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa huduma za afya pamoja huduma ya maji safi pamoja na upatikanaji hafifu wa mahitaji muhimu ya chakula, mavazi na malazi.