Bidhaa za Tanzania zaongezeka thamani
Serikali imesema thamani ya bidhaa za Tanzania zilizopelekwa Rwanda imekuwa na kufikia shilingi milioni 196.4 kutoka mwaka jana huku ubora wa bidhaa za Tanzania katika soko la Afrika Mashariki umetajwa kuongezeka.