Keko: Nusura kilevi kinipoteze
Rapa Keko wa nchini Uganda, ameweka wazi namna matumizi ya vilevi ikiwepo uvutaji wa bangi vilivyotaka kumpoteza katika ramani, huku rafiki zake wa karibu wakiwa kwa sehemu kubwa ndio waliochangia yeye kujiingiza na kukolea katika tabia hizo.