Spika wa bunge la Tanzania Bi. Anna Makinda akiwa na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kuuaga mwili wa Mrehemu Deo Filikunjombe
Spika wa bunge la Tanzania Bi. Anna Makinda amesema kuwa Marehemu Deo Filikunjombe, alikuwa ni mbunge wa tofauti kutokana na alivyo kuwa akifanyakazi zake kwa kuwajali zaidi wananchi wake.