Serikali yasaini mkataba wa uzalishaji pembejeo
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa shilingi milioni 240 kutoka nchi ya Polland kwaajili ya kusaidia uzalishaji wa pembejeo za kilimo pamoja na utekelezaji wa mradi wa maghala ya kuhifadhia chakula.