Muki atoa msimamo wake kuhusu siasa
Msanii wa muziki Muki kutoka kundi la Makomando, ametoa ya moyoni dhidi ya mashabiki ambao wamekuwa wakishambulia wasanii kutokana na misimamo yao ama kutumbuiza katika majukwaa ya kisiasa, akisema kuwa wanafanya hivyo kwa nia ya kutumbuiza tu.