Patcho Mwamba kujaribu kipindi
Msanii wa maigizo, muimbaji, Mtunzi, Mpanga Muziki na Mchekeshaji Patcho Mwamba ameendelea kuongeza fani ambazo amekuwa akizimudu vyema kwa upande wa sanaa, huku akiwa katika maandalizi ya kutoa albam mpya ya bendi ya FM Academia,