Watafiti watakiwa kuacha kutoa matokeo ya urais
Viongozi wa vyama vya siasa vitano wametoa tamko la amani ambapo wamezitaka tasisi zinazojishughulisha na masuala ya utafiti kuacha mara moja kwa kile walichodai matokeo ya tafiti hizo yanawatishia wapiga kura.