Magufuli kuunguruma Arusha mjini kesho
Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli Kesho ataunguruma katika mkoa wa Arusha, kwenye viwanja vya mpira Sheikh Amir Abeid, akitokea wilayani karatu, ambako pia leo atafanya mkutano wa hadhara wa kampeni.