Tufanye uchaguzi wa huru na haki. Ni wajaribu kufanya maamuzi sahihi kwa kwa kupima hoja za wagombea na sio kufuata mkumbo, tufanye uchaguzi wa huru na haki ili kudumusha amani ya nchi yetu. Read more about Tufanye uchaguzi wa huru na haki.