Meneja Mipango na Biashara wa Soko la Hisa la Dar es Salaam DSE, Bw. Patrick Mususa.
Idadi ya mauzo katika soko la hisa la Dar es Salaam—DSE imeongezeka mara tano katika kipindi cha juma moja lililopita kutoka fedha za Tanzania shilingi bilioni tano hadi shilingi bilioni kumi na mbili.