'Ideal' ya vuvula ilitoka wa Wazimbabwe - Madee
Msanii madee ambae anafanya poa katika anga za Bongo Fleva, amesema idea ya wimbo wa Vuvula waliipata kutoka kwa Wazimbabwe ambao walikuwa wana ishi nao jirani walipoenda mapumzikoni nchini South Africa.