Dk. Slaa hatoshiriki tena mikutano ACT- Mwigamba Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kimekuwa na mawasiliano na Dk. Wilbrod Slaa, kuhusu uwezekano wa yeye kushiriki katika kampeni za Chama chao kwa lengo la kuendeleza vita dhidi ya ufisadi nchini. Read more about Dk. Slaa hatoshiriki tena mikutano ACT- Mwigamba