Ujenzi binafsi wawafanya watumishi wasinufaike
Tafiti zinaonesha kuwa nyumba zote zilizojengwa bila kukamilika hapa nchini thamani yake ni kubwa kuliko fedha zote zilizopo kwenye mabenki kwa kuwa watumishi wengi hupoteza fedha zao katika ujenzi usiokamilika na kuchukua muda mrefu.