Serikali iboreshe mazingira ya ufugaji - Vijana Serikali imetakiwa kuweka mazingira mazuri hususan vitendea kazi na kuwezesha kwa kutoa mikopo, ili kuweza kuwavutia vijana kujihusisha na shughuli za ufugaji, na hatimaye kujitengenezea ajira. Read more about Serikali iboreshe mazingira ya ufugaji - Vijana